MARK ANTHORN WEBSITE

Page

Thursday, August 2, 2012

HABARI KWA WAJASILIAMALI WOTE.

Habari kwa wajasilia mali wote.
 Mzigo mpya wa kuku umewasili leo  asubuhi kutoka singida.
Kuna kuku wanao tetea majike na pia kuna majogoo wakubwa tuu  na wenye bei nzuri kama utaitaji kuku hawa wa kienyeji jaribu kuwasiliana nami kwa kupitia (www.facebook.com/anthorn), (www.twitter.com/princecherry_M) OR email (michael.mark46@yahoo.com) au kwa simu namba +255652992919.

No comments:

Post a Comment