Wednesday, August 29, 2012

MANA WOMEN'S GROUP

Kwa wale wanahitaji wapishi wa chakula kizuri na kitamu kwenye boofer cha kila aina na pia wapambaji kwenye harusi,kitchen party,send off na sherehe nyinginezo na kwa wale walio wahi kwenda kwenye mikutano mingi ya MWAKASEGE basi watakuwa walijionea kulivyo kuwa kumepambwa na hawa wamama.

 Karibu uwaone wamama wakikundi kiitwacho MANA WOMEN'S GROUP kilichopo msasani.

No comments:

Post a Comment