Hizi ni baadhi ya risiti za mizigo ya wateja
waliotuma pesa zao kwa mahitaji ya simu,covers,laptops
nk. Kutoka sehemu mbalimbali ya ndani ya nchi na
nje za nchi pia kupitia kampuni ninazo fanya nao
kazi - Abood, New force, Dar Xpress, Green Star,
Ratco, Shabiby, Princess muro, ABC trans, Super feo,raha leo,
DHL...nk napenda kuwa shukuru wote kwa uaminifu
wao kwangu kutuma pesa zao na kuwatumia mizigo
yao ikiwa salama Mungu awabariki na jumamosi
njema nyote.
Deals with advertising sales original phones and all kinds of accessoriess for more information call or whatsapp +255652992919..or email (michael.mark46@yahoo.com)
Friday, December 13, 2013
Hizo ni baadhi ya risiti za wateja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment