MARK ANTHORN WEBSITE

Page

Saturday, July 21, 2012

HABARI KWA WAJASILIAMALI WOTE.

Kuanzia Ijumaa Ijayo naanza rasmi kuitumia Blog yangu kwa kufanya biashara na kuwasaidia wengine wanao taka kufungua biashara na hawajui pa kuanzia.
Napenda kumshukuru sana MUNGU kwani ameniwezesha kufanikiwa kuweza kuanza rasmi biashara yangu binafsi lakini nimekutana na vikwazo vingi sana mpaka kufikia hatua hii leo.

No comments:

Post a Comment